Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

Kujua kama ni original which I believe ni original kweli. Nenda kwenye website ya Xiaomi www.mi com kisha pale juu bofya kwenye Product Authentication, weka IMEI kati ya hizo na uweke verification code unayooneshwa. Hapo utaambiwa aina hiyo ya simu
Asante sana, nadhani nitafuata ulichoniambia. Ni OG

 
Kabla ulikuwa unatumia simu aina gani.?
 
Sasa mkuu umesema huna matumizi makubwa ya simu mbona ulichukua 8GB RAM. 6GB inakutosha sana hapo umeongeza gharama bila sababu
Nadhani nilijichanganya, I meant Nina matumizi makubwa ya simu kwa Ajili ya report zangu hasa camera
 
Simu nzuri sana,cha kufanya hakikisha apps zote ziko updated, pia hakikisha system iko updated.
Basi utaizoea na utaipenda sana. Simu nzuri sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ