Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Inaonekana una mawe
Nenda Kachukua Mi 10T pro or Mi 11
Mpwa sinunuagi simu za promotion! Kupigwa ni pale mtu unapokua na pesa ya mawazo! Kama pesa Iko kwa bajeti hio huwezi kuwa na mawazo ya kupigwa! Nimethinitisha simu ni OG....inatosha kwa sasa!Sio mawe kapigwa anajifariji tu hio simu laki 6 unaipata tena na mb za ziada za kutosha kutoka tigo
Usipaniki hakuna mwenye pesa ya mawazo hio pesa ilikua unaongeza 50elfu unadaka simu kali zaidi kushinda hio poco f3, tulia mpwa mimi ndio kwa namna moja au ingine nimekushawishi iwe direct au indirect kutumia xiaomi kupitia uzi wangu pendwaMpwa sinunuagi simu za promotion! Kupigwa ni pale mtu unapokua na pesa ya mawazo! Kama pesa Iko kwa bajeti hio huwezi kuwa na mawazo ya kupigwa! Nimethinitisha simu ni OG....inatosha kwa sasa!
Hahahaha siwezi kupaniki Mpwa kwa 750,000 hahahaha. Hivi ulinishawishi eegh? Maana nakumbuka niliikuta Twitter hii simu na price, anyway isiwe kesi next time nitanunua hio jnayosema.Usipaniki hakuna mwenye pesa ya mawazo hio pesa ilikua unaongeza 50elfu unadaka simu kali zaidi kushinda hio poco f3, tulia mpwa mimi ndio kwa namna moja au ingine nimekushawishi iwe direct au indirect kutumia xiaomi kupitia uzi wangu pendwa
Pamoja karibu sasa na kwenye uzi wa xiaomi users tz pale telegram tukupe gcam na vitu vikali fanya kuseach Xiaomi users tz telegram utaion kisha join grupu hioHahahaha siwezi kupaniki Mpwa kwa 750,000 hahahaha. Hivi ulinishawishi eegh? Maana nakumbuka niliikuta Twitter hii simu na price, anyway isiwe kesi next time nitanunua hio jnayosema.
Mbavu zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]IMEI doesn't exist
Soon nitatia timuPamoja karibu sasa na kwenye uzi wa xiaomi users tz pale telegram tukupe gcam na vitu vikali fanya kuseach Xiaomi users tz telegram utaion kisha join grupu hio
Sio mawe kapigwa anajifariji tu hio simu laki 6 unaipata tena na mb za ziada za kutosha kutoka tigo