Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Asalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu
Jela tu utakuzaAsalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu
Thank you hayana madhara mkuu kwenye hormonesYeah inawezekana na ni kwa muda mchache tu,tumia mafuta ya POmade….
Huyo ana maokotoMuulize dotto magari😎
does it really grow hair?Pakaa mafuta ya nazi
Unataka makapuku? Niige mimi ziko hivyo!Huyo ana maokoto
HayaeeUnataka makapuku? Niige mimi ziko hivyo!
Zile nadhani ni Genetics, Mtu Yuko Jela, Nywele Kama Super Black🤣🤣Asalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu