Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

Mkuu usiwe racist...au kwa hii scenario usiwe Speciest
Kwani binadamu anamzidi nini paka??
Sisi sote ni viumbe tu kwenye hii dunia na wote tupo sawa na wote tutakufa
 
Back
Top Bottom