Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

TOFAUTI ZA KIDINI SIO ZA KUPUUZIA,
TAFUTA MTU WA IMANI YAKO. MENGI UTAYAKWEPA
PENGINE UNAYOPITA SASA NI MEPESI KULIKO YA HAPO BAADAYE.

JE UNAISHI NA WAZAZI? NDUGU? KWAMBA HUNA KAZI YA KUFANYA.
UNAWEZAJE MUWAZA MTU KANA KWAMBA YEYE NI PUMZI YAKE?
NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI BRO!
MBONA KUNA MENGI YA KUFANYA
 
Ndugu,

Kwanza pole. Naelewa vzr hisia zako.
Pole saana kk.

Ila mi ningekushauri, kwanza kubali umeachana naye na ataolewa na mwingine, na ww utaoa mwingine.

Then, nenda mbele nenda nyuma, km kwao wameshaleta zengwe na kwenu nmeona km kuna zengwe ktk hili.. hapo ndoa hamna.. mki lazimisha tu utajuta mbeleni. Nina uzoefu ktk hilo la kulazimisha ndoa. Imenikuta na nlitaman ningesikiliza..

Af kuanzia hayo maumivu unayopitia kuanzia ss ndo utaiva na kujua nn maana mahusiano af hautotishwa tena mtu akisema mnaachana.

Ila anzia kwa kukubali matokeo then fungua kurasa. Usife mnyonge.
 
nimechelew kuipata hiii ni kubwa kuliko ahsante Sana ndugu yangu...hekma yako ni elimu tosha sana
 
Sikushauri uoe mwanamke alibadilisha dini kisa ndoa ,kuna mwana kitaa alitaka kujinyonga.
 
Kuna njia nzuri ya kumsahau,ila kwa waislam,kuna kitu unakunywa hutomkumbuka daima,


Kwa wewe labda uko upande wenu watakusaidia
 
Nitajaribu na Hilo pia ahsante mwenzenu nateseka sana
Kabla ya kuingiza ushauri wangu, ningelipenda kufahamu kama bado mnawasiliana naye, na aina ya mawasiliano mnayotumia.
 
Huna kazi ya kufanya wewe.
 
...Utoto Raha Sana...Ukikua Utajua ' Wako Wengi Hawa' na ' Wazuri Hawajazaliwa' !!!....[emoji846]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Huyo Muha ndio anakufanya upate kichaa, usikute kawekelea kitu maana kigoma ni makanjanja sana kwenye ufalme wa roho hasa Kule gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…