Nawezaje kumtoa pusha wa mtaani bila kutumia Polisi, sitaki dhambi ya kumfanya mtu atoke jela akiwa mzee

Amna mtu anaishi kwa woga kama pusha huyo dogo asikuchimbe biti mzee.
we mwambie mtaani wameweka kikao kuna vijana wanapora kwahiyo hawataki makundi maana auze ila wasivutie hiyo sehemu mwela mda wowote wataibuka afu ulete mrejesho.
 
Mkuu skank og napateje?
 
Acha kufuatilia maisha ya watu,mola alimleta kwa ajili ya kufanya kazi hiyo nawe unauhakika gani kazi unayoifanya ni safi kwa mola?
 
Hapo kwenye kusaidia vitu vingi. kwel inaweza kuwa Dawa maana mtaani kwetu karibu watu wote wamepigwa na ile Homa ,isipo kuwa wala nganja tu.
 
Sasa kama ni makapi wew yanakupa shida gani
??? Si ufate mambo yako
 
Ukisoma kitabu au kuangalia muvi ya THE GODFATHER utapata njia ya kutatua....huo ndio ushauri wangu kwa sasa...one day utakuja hapa kunishukuru......
 
Msaidie aachane na hiyo mishe siku wakimdandia hatoamini wanaompa ujanja ni watu wadogo sana akikaa segerea miaka miwili afu akala mvua ya miaka30 hatoamini hmna pusha mjanja bongo kwa hii sheria ya madawa ya kulevya heroine,cocaine,bangi na mirungi!
 
Dogo anajiona kama pablo ama el chapo flani hivi, hashauriki
Mtatfte jamaa mwingine ambae haishi mtaa huo then muelezee inshu ya dogo. Mpange aende kwa dogo kama mteja wa bandi then akifika na kuikuta amwambie mimi ni afisa upelelezi nimetumwa kwako kuja kukupeleleza nimekuona bado kijana sana wa kutumikia miaka 30, una ndoto nyingi sana ambazo hujatimiza, nimekuhurumia mdogo wako kukupeleka jela. Uungwana wangu kwako ni kuacha hii biashara haram. Ukikaidi na kuendelea nayo basi wew ni mfungwa mtalajiwa, serikali inamkono mrefu tutakupata tu popote pale.
 
Kwanini usifanye maisha yako tu, kwani kuna mtoto au ndugu yako mteja wa huyo sadali?

Bangi haina madhara ya moja kwa moja kwa jamii.
 

Sio rahisi kwa hao wauza bangi kumuuzia bangi mtu asiyemfahamu.
Kwa ushauri wangu wamuelekeze huyo pusha aache hiyo biashara kwa sheria ilivyobadilishwa bangi imeingizwa kwenye kundi la madawa ya kulevya aina ya cocaine.
Kama ana kiosk aongeze mtaji kwenye bidhaa nyingine halali
Ikiwezekana ongeeni na mwenyekiti wa mtaa au mzee maarufu mtaani amuonye aache hiyo biashara haramu ikishindikana kamlipue tu polisi madawa ya kulevya yote pamoja na bangi sio
 
Mkwara huu....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…