Wanajukwaa kuna ndugu yangu huku kijijini ni shabiki mkubwa wa club ya Simba sports club toka miaka ya 1990's kwa sasa anajihusisha na kukochi team ya kijiji na kaifikisha mbali sana
Sasa baada ya kuona nafasi ya kocha mkuu wa team ya Simba ikiwa wazi amekuwa akinisumbua mara kwa mara kwa nijaribu kutumia maujanja yangu ya mtandaoni kumwezesha aipate nafasi ya kuinoa club ya Simba msimu unaokuja
Niwe muwazi jamaa ni kocha mzuri sana na ninaamini kabisa ataweza kuirudisha club ya Simba kileleni endapo akipatiwa nafasi ya kuinoa club hiyo.Sasa swali ni je nitumie mbinu gani kufanikisha ndoto ya huyu mwamba kupatiwa nafasi ya kuinoa Simba