scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 328
Mnunulie Sensodyne na mswaki wa colgate kama zawadi. Mwambie atumie hio itamsaidia meno yake yawe ang'avu sana.Habari za asubuhi wana jamvi
Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.
Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini harufu mbaya ya kinywa yaani ananuka mdomoni
Haswa nikiwa natamani kumpiga denda lakini nashindwa namna ya kumfikia mdomoni sababu ya ile harufu.
Hii imekuwa kama kero kwangu na kunimaliza kabisa hamu ya kuendelea na game
please naombeni ushauri namna bora ya kumueleza.
samahan kwa kukosea kichwa cha habari ni
USHAURI SIO USHARI
😄😄😁😄Mawakala wa bidhaa ya sensodyne hamchezi mbali na fursa,
Ok nje ye mada, je una mpenzi mwingine wa kiume? Kwa mujibu wa maelezo yako wa awali kabisa.
Mnunulie package yenye sabuni perfume alafu ndani yake muweke dawa za kinywa pamoja na zile dawa za maji za kusukutua kinywa hatoshtukia but wengine ni tatizo la kinywa hivyo waeza mpeleka kwa dentist for some adviceHabari za asubuhi wana jamvi
Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.
Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini harufu mbaya ya kinywa yaani ananuka mdomoni
Haswa nikiwa natamani kumpiga denda lakini nashindwa namna ya kumfikia mdomoni sababu ya ile harufu. Hii imekuwa kama kero kwangu na kunimaliza kabisa hamu ya kuendelea na game please naombeni ushauri namna bora ya kumueleza.
Samahan kwa kukosea kichwa cha habari ni
USHAURI SIO USHARI