Nawezaje kumwambia mpenzi wangu kuwa ananuka mdomo?

Nawezaje kumwambia mpenzi wangu kuwa ananuka mdomo?

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Habari za asubuhi wana jamvi,

Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.

Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini harufu mbaya ya kinywa yaani ananuka mdomoni

Haswa nikiwa natamani kumpiga denda lakini nashindwa namna ya kumfikia mdomoni sababu ya ile harufu. Hii imekuwa kama kero kwangu na kunimaliza kabisa hamu ya kuendelea na game please naombeni ushauri namna bora ya kumueleza.

Samahani kwa kukosea kichwa cha habari ni

USHAURI SIO USHARI
 
FB_IMG_16593831644364002.jpg
 
Habari za asubuhi wana jamvi

Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.

Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini harufu mbaya ya kinywa yaani ananuka mdomoni

Haswa nikiwa natamani kumpiga denda lakini nashindwa namna ya kumfikia mdomoni sababu ya ile harufu.

Hii imekuwa kama kero kwangu na kunimaliza kabisa hamu ya kuendelea na game

please naombeni ushauri namna bora ya kumueleza.

samahan kwa kukosea kichwa cha habari ni
USHAURI SIO USHARI
Mnunulie Sensodyne na mswaki wa colgate kama zawadi. Mwambie atumie hio itamsaidia meno yake yawe ang'avu sana.

Akiiťumia kikamilifu huenda tatizo likaisha.
 
Ishu kama tonsil stones zinawatesa sana uwe unampeleka kwa daktari achekiwe sio kumpeleka saloon tu...Jaribu kumwambia atumie dawa nzuri kama sensodyne na kutumia mouth washa kusukutua haizidi 1500
 
Mimi nna swali tatizo hilo limeanza karibuni au toka zaman?

Maana kama toka zaman sijui uliwezaje biggest turn off ni harufu ya mdomo, body odour na meno ya njano...demu akiwa na hivyo first dates piga chini chap
 
Mnunulie vitu vinavyoondoa harufu mbaya ya mdomo mpe kama zawadi.
 
Fanya ulivyoshauriwa kwa habari ya dawa,mswaki na vinavyofanana na hivyo,tatizo likiendelea muoneni daktari.

Waweza kufanya naye rehearsal kwa namna ya kumsaidia kwa wewe kutengeneza scenario ya wote kujua mnabigaje then kutokea hapo mpe msaidie kwanini sio hivi ni vile hivyo tu.
 
Mkimaliza tu mgegedo kabla hujashuka toka kiunoni mwake unamwambia baby we ni mtamu sana lakini tatizo lako unatoa harufu mbaya mdomoni sijui hauswaki vizuri!!!!?

Hebu amka tukaswaki kwanza tuje tuzagamuane tena bado nina hamu sana na wewe nikupige miti
 
Habari za asubuhi wana jamvi

Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.

Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini harufu mbaya ya kinywa yaani ananuka mdomoni

Haswa nikiwa natamani kumpiga denda lakini nashindwa namna ya kumfikia mdomoni sababu ya ile harufu. Hii imekuwa kama kero kwangu na kunimaliza kabisa hamu ya kuendelea na game please naombeni ushauri namna bora ya kumueleza.

Samahan kwa kukosea kichwa cha habari ni

USHAURI SIO USHARI
Mnunulie package yenye sabuni perfume alafu ndani yake muweke dawa za kinywa pamoja na zile dawa za maji za kusukutua kinywa hatoshtukia but wengine ni tatizo la kinywa hivyo waeza mpeleka kwa dentist for some advice
 
Nyie bado hamjazoeana labda... kama mmeshakua na mahusiano kwa muda.mrefu mnaambiana tu ukweli wa chochote na hakuna anae kasirika.
 
Back
Top Bottom