Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

Asante mkuu kulianzisha hili... Ngoja tusubiri wataalamu watupe Shule.
 
Ukitaka kuwekeza kwenye stocks, tafuta app inaitwa trading212 au ingia kwenye website yake kwa ku google trading212. Pia ukitaka kupiga pesa wekeza kwenye stocks za US. Mfano AAL, PARKING HOTEL, OIL COMPANY. ZIKO NYING ZA KUWEKA ..
 
Ukitaka kuwekeza kwenye stocks, tafuta app inaitwa trading212 au ingia kwenye website yake kwa ku google trading212. Pia ukitaka kupiga pesa wekeza kwenye stocks za US. Mfano AAL, PARKING HOTEL, OIL COMPANY. ZIKO NYING ZA KUWEKA ..
Kwenye hii app,wakati wakujisajiri ukiandika ichi Tanzania inagoma umetumia nchi gani wewe ambayo unatumia
 
Hisa za makampuni ya nje ni gharama sana, sio mtu Una ka 15 million unataka kununua hisa USA hiwezi labda nchi ya kina kambole. hizo company hapo unakuta hisa moja ni $-100,000/=. Ukiikonvert kwene karatasi zetu za kuchambia inazidi million 200 na kidogo.
 
Kuna brokers wanawezesha kununua hizo hisa.

Mfano Interactive Brokers unaweza nunua hata hisa za kampuni yeyote duniani.

Achana na kununua tu, unaweza wekeza kwenye ETFs, Mutual Funds, Indices. Waweza trade Options, Stocks, Forex, Futures etc.

They are the largest stock brokers in the world.

Their commision is very small.
 
Hapana sio kweli

Apple hisa moja ni $145.7
Amazon $112.5
Walt Disney $93.9
Tesla $706.64
Microsoft $265
 
Asante
 
Muongo
Hebu taja hiyo Kampuni inayouza hisa moja kwa dola laki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…