Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

Na kabla ya ku-invest lazima ujue wewe una-invest kwa malengo gani ya Muda mfupi(upate gawio/dividend) au muda mrefu(capital gain).Sasa jichanganye ukanunue hisa za ma co. Ya Warren buffet(Berkshire) halafu utegemee kupewa gawio 😄😄.My friend utarudi hapa unasema umedhulumiwa hela yako.Uzuri shares zake zina-appreciate in value so ukiziuza utapata pesa fresh tu(itategemea na soko limekaaje).
 
Ukitaka kuwekeza kwenye stocks, tafuta app inaitwa trading212 au ingia kwenye website yake kwa ku google trading212. Pia ukitaka kupiga pesa wekeza kwenye stocks za US. Mfano AAL, PARKING HOTEL, OIL COMPANY. ZIKO NYING ZA KUWEKA ..
Bongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.

#MaendeleoHayanaChama
 
Brokers mimi namtumia interactive brokers ishu itakayokupashida ni ku deposit.

Ku deposit kuna namna maana BOT wanazuia
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe..iweje na kwanini bot izuie watu kufanya deposits.

#MaendeleoHayanaChama
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe..iweje na kwanini bot izuie watu kufanya deposits.

#MaendeleoHayanaChama
May Be kwa sababu ya kujaribu kuthibiti hifadhi ya dola. Ukute unapofanya malipo kwa shilling wao wanatransfer kwa dola.

(Nimewaza tu).
 
Hisa za makampuni ya nje ni gharama sana, sio mtu Una ka 15 million unataka kununua hisa USA hiwezi labda nchi ya kina kambole. hizo company hapo unakuta hisa moja ni $-100,000/=. Ukiikonvert kwene karatasi zetu za kuchambia inazidi million 200 na kidogo.
Nitajia kampuni ambayo his moja ni $100,000 nakupa 1 million sasa hivi. Nimekaa palee
 
ila ki ukweli Vodacom wametu nyoosha, milioni5 zangu nilizo wekeza huko ni bora ningenunua kiwanja kiagomboni leo hii kingekuwa na thamani kubwa!
Naomba unijuze kilichotokea kwa Vodacom
Mbon naona bado hisa zao zipo DSE? ni kwamba haziuziki, au hawatoi gawio au namna gani

Nambie kaka
 
kuna watu wanacomment ilimrad nao waonekane wanajua wakat wanajichoresha tu kuwa ni mazwazwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gharama ya hisa moja ni $419,435 Kwene makampuni ya Berkshire Hathaway Class A shares. Kikojozi umezihirisha kua zwazwa ni wewe
 
Bongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna Skrill, Neteller, Perfect Money and etc
Au hizi nazo zimezuiwa?
 
Habari wana JF

Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi

Mfano :- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi

Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi

Nawasilisha,
Ingia Google search
"best stock brokers 2022"
Then chagua utakayoiona inakufaa
 
Back
Top Bottom