Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

Ingia Google search
"best stock brokers 2022"
Then chagua utakayoiona inakufaa
Sio brokers wote wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

As of now,

Interactive brokers na Tradestation pekee ndo wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

TD Ameritrade walikuwa wanaruhusu kipindi cha nyuma ila sasa wamepigwa pini na BOT.
 
Bongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.

#MaendeleoHayanaChama
Unapokea kwa visa/mastercard inaingia bank.
 
ila ki ukweli Vodacom wametu nyoosha, milioni5 zangu nilizo wekeza huko ni bora ningenunua kiwanja kiagomboni leo hii kingekuwa na thamani kubwa!
Nami bado kidogo ningeingia kwenye huo mtego,niliona hadi waziri mkuu majaliwa nae aliweka hela yake milioni 10,nikahamasika kuweka lakini asubuhi yake akili ikawa inakataa kuweka,
 
Naomba uniambie kilichotokea kwa Vodacom
 
Hisa za Vodacom zilikuwa overpriced na hakukuwa na liquidity ya kutosha kununua hisa za ile thamani. Ilibidi ziuzwe kwa njia kama ile kampeni za kuzuia UKIMWI.

Wananchi hawana mwamko wa kununua hisa na kwa kiwango cha hisa zilizowekwa sokoni, ilikuwa ngumu kununuliwa zote kwa muda mfupi. Na mbaya zaidi hisa zilikuwa overpriced.
 
Anhaa sawa, nimeelewa
 
Hapana sio kweli

Apple hisa moja ni $145.7
Amazon $112.5
Walt Disney $93.9
Tesla $706.64
Microsoft $265
Hapa nunua hisa za Apple wataleta mbadala wa VR ya Meta ambayo lazima iwe expensive ndio itakuwa endelevu. Na pia wataleta mode ya kujikinga na hacking.

Amazon itarajie iwe vilevile kwahiyo sio ya kununua sahivi, labda kuhold.

Walt Disney si ya kununua sasa inakaribia kupoteza patent ya Mickey Mouse ambayo imedumu kwa miaka kama 90. Ukiondoa Mickey Mouse kwao ni sawa na uondoe polisi kwa CCM. Labda waiongeze muda mahakamani.

Hapo ni mwenendo wa miaka mitatu hivi ijayo kama unanunua mwaka huu
 
Habari wana JF,

Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi

Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi

Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi

Nawasilisha,
Ni vigumu sana kwa raia wa Tanzania aliye Tanzania kununua hisa za makampuni ya nchi za nje bila kuvunja sheria.

Sheria zetu nyingi zimekaa kumuhukumu mtu huyo kama mhujumu wa uchumi wa Tanzania anayetaka kutorosha hela za kigeni kutoka Tanzania kwenda nje.
 
Hapa nunua hisa za Apple wataleta mbadala wa VR ya Meta ambayo lazima iwe expensive ndio itakuwa endelevu. Na pia wataleta mode ya kujikinga na hacking.

Amazon itarajie iwe vilevile kwahiyo sio ya kununua sahivi, labda kuhold.

Walt Disney si ya kununua sasa inakaribia kupoteza patent ya Mickey Mouse ambayo imedumu kwa miaka kama 90. Ukiondoa Mickey Mouse kwao ni sawa na uondoe polisi kwa CCM. Labda waiongeze muda mahakamani.

Hapo ni mwenendo wa miaka mitatu hivi ijayo kama unanunua mwaka huu
Ni kweli kabisa hata mim nilifikiria kununua za Apple
Shida ni taarifa nazopata bado sio sahihi sana
Namna ya kununua, usalama wa pesa zangu, gawio napataje? Sheria zinazonilinda mim kama muwekezaji? Natakiwa kununua hisa ngapi at per
 
Sio brokers wote wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

As of now,

Interactive brokers na Tradestation pekee ndo wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

TD Ameritrade walikuwa wanaruhusu kipindi cha nyuma ila sasa wamepigwa pini na BOT.

TradeStation huwezi deposit ukiwa tz
 
Hisa za Vodacom zilikuwa overpriced na hakukuwa na liquidity ya kutosha kununua hisa za ile thamani. Ilibidi ziuzwe kwa njia kama ile kampeni za kuzuia UKIMWI.

Wananchi hawana mwamko wa kununua hisa na kwa kiwango cha hisa zilizowekwa sokoni, ilikuwa ngumu kununuliwa zote kwa muda mfupi. Na mbaya zaidi hisa zilikuwa overpriced.

Kununua hisa za makampuni ya tz ni “Business ignronce “
 
Back
Top Bottom