kuna watu wanacomment ilimrad nao waonekane wanajua wakat wanajichoresha tu kuwa ni mazwazwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muongo
Hebu taja hiyo Kampuni inayouza hisa moja kwa dola laki moja
Broker ataziuza,atapata commission yake kidogo nawe utapata chako.Vipi kwenye maswala ya ulipaji na incase nikitaka kuziuza hizo hisa pia inakuwaje?
Nyumbani labda ununue za Tbl au sigaraAnza na za nyumbani kwanza
Bongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.Ukitaka kuwekeza kwenye stocks, tafuta app inaitwa trading212 au ingia kwenye website yake kwa ku google trading212. Pia ukitaka kupiga pesa wekeza kwenye stocks za US. Mfano AAL, PARKING HOTEL, OIL COMPANY. ZIKO NYING ZA KUWEKA ..
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe..iweje na kwanini bot izuie watu kufanya deposits.Brokers mimi namtumia interactive brokers ishu itakayokupashida ni ku deposit.
Ku deposit kuna namna maana BOT wanazuia
May Be kwa sababu ya kujaribu kuthibiti hifadhi ya dola. Ukute unapofanya malipo kwa shilling wao wanatransfer kwa dola.Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe..iweje na kwanini bot izuie watu kufanya deposits.
#MaendeleoHayanaChama
Nitajia kampuni ambayo his moja ni $100,000 nakupa 1 million sasa hivi. Nimekaa paleeHisa za makampuni ya nje ni gharama sana, sio mtu Una ka 15 million unataka kununua hisa USA hiwezi labda nchi ya kina kambole. hizo company hapo unakuta hisa moja ni $-100,000/=. Ukiikonvert kwene karatasi zetu za kuchambia inazidi million 200 na kidogo.
Unafanya bank transfer au unatumia njia gani?Brokers mimi namtumia interactive brokers ishu itakayokupashida ni ku deposit.
Ku deposit kuna namna maana BOT wanazuia
Naomba unijuze kilichotokea kwa Vodacomila ki ukweli Vodacom wametu nyoosha, milioni5 zangu nilizo wekeza huko ni bora ningenunua kiwanja kiagomboni leo hii kingekuwa na thamani kubwa!
Kwa $419,435 unapata hisa 1 ya $BRK.A.Nitajia kampuni ambayo his moja ni $100,000 nakupa 1 million sasa hivi. Nimekaa palee
Umeandika nn hapa mkuu, $BRK. A ndio nini?Kwa $419,435 unapata hisa 1 ya $BRK.A.
Berkshire Hathaway Class A Shares.Umeandika nn hapa mkuu, $BRK. A ndio nini?
Mtu mwenye milioni moja asingejisumbua kuandika upuuzi wake kama huo.Mwambie akupe millioni moja yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie akupe millioni moja yako[emoji23][emoji23][emoji23]
kuna watu wanacomment ilimrad nao waonekane wanajua wakat wanajichoresha tu kuwa ni mazwazwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Skrill, Neteller, Perfect Money and etcBongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.
#MaendeleoHayanaChama
Ingia Google searchHabari wana JF
Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi
Mfano :- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi
Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi
Nawasilisha,