Sio brokers wote wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.Ingia Google search
"best stock brokers 2022"
Then chagua utakayoiona inakufaa
Unapokea kwa visa/mastercard inaingia bank.Bongo wamezuai PayPal..utazipataje hela zako..na kuzipokea hapa bongo..au ndio utapiga pesa za kwenye digits tu mtandaoni ila huwezi zimiliki physically.
#MaendeleoHayanaChama
IQ Option ipo vizuri sana tena ni rahisi kuitumiaKama vipi trade stocks kwenye IQ Options.
Nami bado kidogo ningeingia kwenye huo mtego,niliona hadi waziri mkuu majaliwa nae aliweka hela yake milioni 10,nikahamasika kuweka lakini asubuhi yake akili ikawa inakataa kuweka,ila ki ukweli Vodacom wametu nyoosha, milioni5 zangu nilizo wekeza huko ni bora ningenunua kiwanja kiagomboni leo hii kingekuwa na thamani kubwa!
Hisa za Vodacom zilikuwa overpriced na hakukuwa na liquidity ya kutosha kununua hisa za ile thamani. Ilibidi ziuzwe kwa njia kama ile kampeni za kuzuia UKIMWI.Naomba uniambie kilichotokea kwa Vodacom
Anhaa sawa, nimeelewaHisa za Vodacom zilikuwa overpriced na hakukuwa na liquidity ya kutosha kununua hisa za ile thamani. Ilibidi ziuzwe kwa njia kama ile kampeni za kuzuia UKIMWI.
Wananchi hawana mwamko wa kununua hisa na kwa kiwango cha hisa zilizowekwa sokoni, ilikuwa ngumu kununuliwa zote kwa muda mfupi. Na mbaya zaidi hisa zilikuwa overpriced.
Hapa nunua hisa za Apple wataleta mbadala wa VR ya Meta ambayo lazima iwe expensive ndio itakuwa endelevu. Na pia wataleta mode ya kujikinga na hacking.Hapana sio kweli
Apple hisa moja ni $145.7
Amazon $112.5
Walt Disney $93.9
Tesla $706.64
Microsoft $265
Ni vigumu sana kwa raia wa Tanzania aliye Tanzania kununua hisa za makampuni ya nchi za nje bila kuvunja sheria.Habari wana JF,
Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi
Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi
Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi
Nawasilisha,
Vodacom walifanyaje?ila ki ukweli Vodacom wametu nyoosha, milioni5 zangu nilizo wekeza huko ni bora ningenunua kiwanja kiagomboni leo hii kingekuwa na thamani kubwa!
Kuna Skrill, Neteller, Perfect Money and etc
Au hizi nazo zimezuiwa?
Ni kweli kabisa hata mim nilifikiria kununua za AppleHapa nunua hisa za Apple wataleta mbadala wa VR ya Meta ambayo lazima iwe expensive ndio itakuwa endelevu. Na pia wataleta mode ya kujikinga na hacking.
Amazon itarajie iwe vilevile kwahiyo sio ya kununua sahivi, labda kuhold.
Walt Disney si ya kununua sasa inakaribia kupoteza patent ya Mickey Mouse ambayo imedumu kwa miaka kama 90. Ukiondoa Mickey Mouse kwao ni sawa na uondoe polisi kwa CCM. Labda waiongeze muda mahakamani.
Hapo ni mwenendo wa miaka mitatu hivi ijayo kama unanunua mwaka huu
Sio brokers wote wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.
As of now,
Interactive brokers na Tradestation pekee ndo wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.
TD Ameritrade walikuwa wanaruhusu kipindi cha nyuma ila sasa wamepigwa pini na BOT.
Hisa za Vodacom zilikuwa overpriced na hakukuwa na liquidity ya kutosha kununua hisa za ile thamani. Ilibidi ziuzwe kwa njia kama ile kampeni za kuzuia UKIMWI.
Wananchi hawana mwamko wa kununua hisa na kwa kiwango cha hisa zilizowekwa sokoni, ilikuwa ngumu kununuliwa zote kwa muda mfupi. Na mbaya zaidi hisa zilikuwa overpriced.
Mkuu brokers zinatofautianaHuwezi kudeposit kwenye broker wa stock kwa hizo njia .njia peeked ni wire transfer
Haipo TanzaniaKama vipi trade stocks kwenye IQ Options.
Kivip sijaelewaHaipo Tanzania