Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

Ni vema kufika nchi husika na kufwata process zao ikiwemo malipo ya kodi
 
Habari wana JF,

Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi

Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi

Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi

Nawasilisha,

Kuna jamaa wanaitwa securities limited wako dar, wanafanya management ya uwekezaji wako na kukushauri kama madalali waliosajiliwa. Waangalie mtandaoni uongee nao.
 
Hisa za kampuni gani moja $100,000?
Apple hisa moja $165
Tesla hisa moja $ 207
Facebook hisa moja $ 211
Microsoft hisa moja $288

Watu hamjui ila mnaongea kama mnajua.
 
Hisa za kampuni gani moja $100,000?
Apple hisa moja $165
Tesla hisa moja $ 207
Facebook hisa moja $ 211
Microsoft hisa moja $288

Watu hamjui ila mnaongea kama mnajua.

Unajua price za premier stock za barks hare Hathaway wewe ?.
 
Unajua price za premier stock za barks hare Hathaway wewe ?.
According to mtoa mada alisema hisa nyingi ni expensive truth being share nyingi sio bei aliyoitamka, apart from BHK stocks niambie stocks zingine za $100,000? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…