Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao aminiwa kwa kuonyesha tv hizo lakini sijawahi kuona lolote mpaka waganga wanashangaa kwanini sioni sasa je nikweli hayo mambo ya kuona tv za waganga yapo?mbona mie sionagi?