Nawezaje kuona yasiyoonekana kwa macho ya kawaida?

Mkuu Mshana pole na majukum ya kila siku,sasa kama unaweza kutoa msaada wa wapi niaweza kupata hizo level itakua nafuu sana kwa upande wangu.

NB:Hata link ya page au vitabu husika. asante kwa kunielewa mkuu

Hizi level ni kupitia meditation tu na si kitu kingine chochote
1: anza kuwa na nidhamu ya muda, fanya kitu kilekile kwa muda uleule kila siku
2: anza kuwa na kipimo kilekile cha chakula kila siku,usipunguze usiongeze, bila kujali utamu wake
Hizi ni hatua za msingi mno kwenye mwanzo wa kujifunza meditation
Kuna uzi unahusiana na hili ngoja nitautafuta
 
Naukumbuka mkuu,basi kama ni ivyo tuu nitafanya.Asante kwa maelezo hayo mkuu.
 
Ushirikina unahusika hapo, mtoa mada yuko tayari kununua hata dawa ya kuonea tv ya kimila ili tu aone vitu wanavyoviona wenzie. KAma sivyo aseme maana asingejaribu kwenda kwa waganga ili just to see!!!!!
 
Back
Top Bottom