Nawezaje kuona yasiyoonekana kwa macho ya kawaida?

Ni kweli kabisa. Kuna ulimwengu mbili. Tunayoishi na ulimwengu usioonekana. Ni rahisi sana kufanya chochote utakacho ktk ulimwengu usioonekana hii si uchawi wala uganga. Sitoweza kueleza public
 
Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao aminiwa kwa kuonyesha tv hizo lakini sijawahi kuona lolote mpaka waganga wanashangaa kwanini sioni sasa je nikweli hayo mambo ya kuona tv za waganga yapo?mbona mie sionagi?
Walikuchaji shing ngapi??
Muulize Yvonne Chakachaka namba za hao waganga, niliona ktk video yake ya sangoma "akiona" hiyo tv ya asili laivu!
 
ni kweli kabisa. Kuna ulimwengu mbili. Tunayoishi na ulimwengu usioonekana. Ni rahisi sana kufanya chochote utakacho ktk ulimwengu usioonekana hii si uchawi wala uganga. Sitoweza kueleza public

nipe somo mkuu
 
Ni kweli kabisa. Kuna ulimwengu mbili. Tunayoishi na ulimwengu usioonekana. Ni rahisi sana kufanya chochote utakacho ktk ulimwengu usioonekana hii si uchawi wala uganga. Sitoweza kueleza public

Mkuu mwaga radhi hapa hapa jukwaani watu tupate elimu.
 
dah nawashangaa watu ambao wanaamini wanadamu wenzao .unamtumainije binadamu mwenzako .hao hawana lolote ni utapeli mtupu mgeukie muumba wako haraka sana.ili uwe safe la sivyo utakuwa unaishi kwa mashaka
 
Sio lazima uende kwa waganga if you have clairvoyance ability you can see what others cant see remember man is 1/10 conscious the other 9 is hidden.

Mkuu chaUkucha naona umeongea jambo jipya maskioni mwangu!,naomba ufafanue hiyo 1/10 conciousness ya mwanadamu kwa faida yangu na wengine humu jamvini

When the student is ready the teacher will appear,BTW, kuna walimu wengi humu jamvini
ni hivi tunaishi katika ulimwengu wa aina mbili
3 dimension na 4 dimension
3D ndo huu ulimwengu wa kawaida tunaoishi wa kula, kuvaa, ku chat nk lakini 4D ni ulimwengu usioonekana ambapo mleta mada akiingia huko ataona kila kitu bila msaada wa mganga.

Ina maana 3D ni 1/10 then the other 9 is 4D hii ni kwa makumi tukiiweka kwa mamia ni 12/100

Clairvoyance ni kifaransa maana yake ni clear vision hata hivyo nimejaribu kueleza kwa kiswahili japo nacho ni kigumu.

Sahihi kabisa chaUkucha, kwa maneno mengine ni kwamba, binadamu anatumia sense 5 tu ambazo ndio zinabeba hiyo 1%, sense ya 6-8 hazizingatiwi kabisa na hizi ndio tunaziita super senses ambazo ndio zinabeba hiyo 9%
Ni kupitia hizi 3 za mwisho ndio watu wanakuwa na super natural powers, uwezo wa kuona visivyooneka, uwezo wa kuona zaidi ya sasa(kutabiri na kubashiri)
Uwezo wa kuhama kimwili
Uwezo wa kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja
 
Last edited by a moderator:

Hizi sense tano tunaziita conscious state(visible senses) nahizi tatu za mwisho tunaziita (super conscious senses/ non visible senses)
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Kuna ulimwengu mbili. Tunayoishi na ulimwengu usioonekana. Ni rahisi sana kufanya chochote utakacho ktk ulimwengu usioonekana hii si uchawi wala uganga. Sitoweza kueleza public

Mkuu kama si uchawi au uganga au kito chochote ambacho watu wengi wanaweza kukipinga,kwa nini unasita kukieleza hazarani hata kwa kifupi?Toa hata link kama kuna sehemu hiyo elimu inapatika
 
kuona visivyoonekana kwa Mungu inawezekana ukiwa mtu wa rohoni Mungu anakupa macho ya kiroho yani unaweza kuonyeshwa mtu ni mchawi ana majini au xhoxhote kila mtumishi Wa Mungu ambaye nina 100% ana macho ya rohoni ni mchungaji katunzi anapatikana mtoni mtongani ukishuka hapo utaona mbele reli inapit kwa juu hapo kwenye reli mbele kidogo mkono wa kushoto utaliona kanisa jtano had jmosi saa kumi jioni ni ibada na jpili saa tatu had saa 12 jioni ni ibada yan kuna ibada saa 3-8 na 9-12 kwq jpili karibu ufike hapo uone jinsi macho ya kiroho yanvyotenda kazi mimi nimeona kwa macho watu wanatapika konokono,nyama mbichi,nk huyu mtumishi ana yesu si mchezo yani kwa maelezo utahis naongeza chumvi fika mwenyewe uone kwa macho sio mtume wala sio nabii ni mchungaji tu Anamtunikia Mungu.
 
Umelogwa na huyo mtumishi wako
 
Ubarikiwe mkuu huyo mchungaji sijawahi kuona kama yeye haoa tanzania
 
Hizi sense tano tunaziita conscious state(visible senses) nahizi tatu za mwisho tunaziita (super conscious senses/ non visible senses)

Mkuu Mshana pole na majukum ya kila siku,sasa kama unaweza kutoa msaada wa wapi niaweza kupata hizo level itakua nafuu sana kwa upande wangu.

NB:Hata link ya page au vitabu husika. asante kwa kunielewa mkuu
 
Ngoja nione vile itakuwa
 
Back
Top Bottom