Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao aminiwa kwa kuonyesha tv hizo lakini sijawahi kuona lolote mpaka waganga wanashangaa kwanini sioni sasa je nikweli hayo mambo ya kuona tv za waganga yapo?mbona mie sionagi?
Sio lazima uende kwa waganga if you have clairvoyance ability you can see what others cant see remember man is 1/10 conscious the other 9 is hidden.
Unaamini mtoa mada anaelewa kingereza?
Sio lazima uende kwa waganga if you have clairvoyance ability you can see what others cant see remember man is 1/10 conscious the other 9 is hidden.
Mkuu chaUkucha naona umeongea jambo jipya maskioni mwangu!,naomba ufafanue hiyo 1/10 conciousness ya mwanadamu kwa faida yangu na wengine humu jamvini
Mkuu chaUkucha naona umeongea jambo jipya maskioni mwangu!,naomba ufafanue hiyo 1/10 conciousness ya mwanadamu kwa faida yangu na wengine humu jamvini
Unaamini mtoa mada anaelewa kingereza?
Wewe usiombe kuona yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Yani unaweza ukaoneshwa mambo makubwa magumu ambayo akili yako ya kawaida haiwezi kumudu. Utakosa raha kwa muda mrefu. Wengine wenye huo uwezo tunatamani uondolewe!
Njoo kwa YESU achana na waganga
Maviiiii
Sasa MTU unawezaje kuwa Na hiyo clear vision
Yaani unaipataje ,tusaidiane hapo ,inaweza kunifaa Mimi hiyo.
Maviiiii
Unaamini mtoa mada anaelewa kingereza?