Through training, including telepathy, aura reading and astral travel zingine nazani zipo automatical.
Mkuu Mshana pole na majukum ya kila siku,sasa kama unaweza kutoa msaada wa wapi niaweza kupata hizo level itakua nafuu sana kwa upande wangu.
NB:Hata link ya page au vitabu husika. asante kwa kunielewa mkuu
Sasa MTU unawezaje kuwa Na hiyo clear vision
Yaani unaipataje ,tusaidiane hapo ,inaweza kunifaa Mimi hiyo.
Hizi level ni kupitia meditation tu na si kitu kingine chochote
1: anza kuwa na nidhamu ya muda, fanya kitu kilekile kwa muda uleule kila siku
2: anza kuwa na kipimo kilekile cha chakula kila siku,usipunguze usiongeze, bila kujali utamu wake
Hizi ni hatua za msingi mno kwenye mwanzo wa kujifunza meditation
Kuna uzi unahusiana na hili ngoja nitautafuta
Ngoja nione vile itakuwa