Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.

Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.

Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.

 
Zimwagie maji ya moto
 
Nn iyo?
 
Hiz
Kwa sisi wahenga tumia kibatari au mshumaa kuzinyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…