Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.

Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.

Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.

View attachment 3039845
Ila umasikini mbaya sana kudadeki. Yani unakuta huna hela na hata nywele ulizopewa bure na maulana zinagoma kuwa in order.... Ila ukikamata milioni 100 zinanyooka zenyewe....

Tutafute hela.
 
Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.

Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.

Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.

View attachment 3039845
Mbona kama siafu wako kwenye kiazi
 
Tumia veet ubapaka unaacha robosaa nenda kaoge fanya hivi kila baada ya siku4
 
Back
Top Bottom