Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

kuna wimbo amaeimba B.O.B ft Tylor swift inaitwa both of us kuna verse inasema hivi

And sometimes I wonder, why we care so much about the way we look
And the way we talk and the way we act
And the clothes we bought, how much that cost?
Does it even really matter?

vipi unahisi kuwa na garden love kuna matter sana katika maisha haya ya siku hizi ..jikubali vile ulivyo mkuu we ni special
 
Wanawake tunazipenda sijui zinawawashaga!! Yani ajipange kashayatimba
 
Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.
Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.
Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.View attachment 3039845
Kama kama pera
 
Back
Top Bottom