Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Ila umasikini mbaya sana kudadeki. Yani unakuta huna hela na hata nywele ulizopewa bure na maulana zinagoma kuwa in order.... Ila ukikamata milioni 100 zinanyooka zenyewe....

Tutafute hela.
 
Mbona kama siafu wako kwenye kiazi
 
😹😹😹 thubutuuu.!! Na wewe unakubali dada yako nitafunwe na wapare wa milimani??
Mimi naweza nisikubali ila nyie nao kuna muda akili zenu zinawapotea kwa muda mkishapenda, haha
 
Nakuja nashangaa tu unatoka zako Usangi huko, na kijana wa kipare umeamua umfate milimani ukamtunuku, haha
🤣🤣🤣 Acha basi isije kutokea kweli bure nisivyowapenda wapare sasa.!!
 
Tumia veet ubapaka unaacha robosaa nenda kaoge fanya hivi kila baada ya siku4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…