Nawezaje kupata 'DSTV Now' nikiwa Ulaya?

Nawezaje kupata 'DSTV Now' nikiwa Ulaya?

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
397
Reaction score
690
Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.
 
Nimejaribu mzee nimechemka, nafanikiwa hadi kusign in ila kwenye kuplay video naletewa ujumbe kuwa siwezi kupata huduma hiyo sababu nipo nje ya eneo
Pia jaribu South Africa destination.
 
imegoma mzee app nyingine program nyingine zote zinakubali ila dstv tu
Pia kuna suala la taifa husika kufunga huduma fulani (Ndani ya huduma itolewayo) kwa makubaliano na mwenye huduma.
 
Back
Top Bottom