Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Ata mimi nipo napambana nayo hapa , step ya kwanza ingia tausi portalHi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
Hii nzuri sio kama tausi portal wanazingua sana.
Yaani sijaelewa, badala ya kwenda halmashauri unaingia hapo kwenye link unamaliza kila kitu humo?
Tausi portal ndio inatumika kwa sasaHii nzuri sio kama tausi portal wanazingua sana.
Unaanza na taratibu za TRA kwanza kama kawaida, Kupata TIN na Tax Clearance certificate. Kisha ndio unajiregister kwenye tausi portal kwa kutumia namba yako ya NIDA, mahitaji kama mkataba wa pango pia unapaswa kuwa nazo utaziupload kwenye systemHi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
Hii process mbona kwangu nakwama au Kwa kuwa natumia simu. Nikifika sehemu ya kuweka details maandishi ni madogo hasa kuanzia kuchagua kundi la biasharaUnaanza na taratibu za TRA kwanza kama kawaida, Kupata TIN na Tax Clearance certificate. Kisha ndio unajiregister kwenye tausi portal kwa kutumia namba yako ya NIDA, mahitaji kama mkataba wa pango pia unapaswa kuwa nazo utaziupload kwenye system
Hii na Tausi portal Ina tofauti gani? Wanasisitiza tutumie Tausi portal, je mtu akitumia hii hakuna athari yeyote?
Kwenye simu jaribu kuchagua desktop view ya Web yakoHii process mbona kwangu nakwama au Kwa kuwa natumia simu. Nikifika sehemu ya kuweka details maandishi ni madogo hasa kuanzia kuchagua kundi la biashara
Tumia PC. na kama unatumia simu basi hakikisha kama ni Google chrome au ni Browser yoyote ile nenda hakikisha umeiweka ukiwa umeiset Kwenye Desktop Mode...alafu rotation ya simu yako iwe on ili utumie screen ya simu yako kwa Mapana...Hii process mbona kwangu nakwama au Kwa kuwa natumia simu. Nikifika sehemu ya kuweka details maandishi ni madogo hasa kuanzia kuchagua kundi la biashara
Kweli mfumo upo vizuriTumia PC. na kama unatumia simu basi hakikisha kama ni Google chrome au ni Browser yoyote ile nenda hakikisha umeiweka ukiwa umeiset Kwenye Desktop Mode...alafu rotation ya simu yako iwe on ili utumie screen ya simu yako kwa Mapana...
Nashangaa watu wengi wanalaumu Mfumo wa Tausi Portal na wakati hauna shida yoyote ile ni jambo la haraka tu sema watanzania wengi ni wavivu na hawataki kukubali kwamba Teknolojia imekua na masuala ya kupanga foleni ofisi za Manispaa yamepitwa na wakati...
Utasikia mtu anasema anajua kutumia mtandao halafu mtandao anaouzungumzia ni Fb, twitter, nk ukija kwenye masuala ya kutuliza akili na kupangilia Details binafsi kwa Utaratibu wengi sana zaidi ya 80% ya wa TZ hawajui kitu.
Mkuu kama unatumia simu hakikisha unafungulia kwa kutumia Google Chrome na uwe umeweka alama ya tiki kwenye Desktop mode kama inavyoonekana hapo...alafu washa screen rotation na uitumie screen kwa upana...Hii process mbona kwangu nakwama au Kwa kuwa natumia simu. Nikifika sehemu ya kuweka details maandishi ni madogo hasa kuanzia kuchagua kundi la biashara
Ahsante mkuuMkuu kama unatumia simu hakikisha unafungulia kwa kutumia Google Chrome na uwe umeweka alama ya tiki kwenye Desktop mode kama inavyoonekana hapo...alafu washa screen rotation na uitumie screen kwa upana...
Ukishindwa tumia Computer...
Mimi binafsi nimetumia simu kwa kila kitu hata Mkataba wa Pango na Clearence certificate nime Scan kwa kutumia Scanner niliyo download Google play store na imefaa vuzuri tu...View attachment 2642631
AminaRichard Njau Nature Mbarikiwe, nimefanikiwa
Siku moja hadi tatuMuda gani inachukua kupata leseni toka kukamilisha maombi kwenye hiyo portal?