Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

KWA MFANO UNA BIASHARA TEARI NA LESENI UNAYO AMBAYO INAISHA MWAKANI MWEZI WA KWANZA SASA UNATAKA UJISAJILI ONLINE LICENCE KABLA LESENI HAIJAFIKA MWAKANI:
Swali: kuna uhitaji wa kuweka tax clearance pamoja na mkataba?
 
Subiri kwanza muda wa leseni ya mwanzo ufikie ukomo, halafu utakwenda TRA, kuchukua tax clearance
 
KWA MFANO UNA BIASHARA TEARI NA LESENI UNAYO AMBAYO INAISHA MWAKANI MWEZI WA KWANZA SASA UNATAKA UJISAJILI ONLINE LICENCE KABLA LESENI HAIJAFIKA MWAKANI:
Swali: kuna uhitaji wa kuweka tax clearance pamoja na mkataba?
Ndio, ni lazima uwe na tax clearance na mkataba, iwe leseni mpya au ya zamani, wote tutaonekana ni wapya Kwa kuwa ni mfumo mpya hivyo tutatambulika kama wapya.
 
Nasajir lesen online halamshaur yoyote ulipo kila hatua utaiona kiganjani mwako
 
Nasajir lesen online halamshaur yoyote ulipo kila hatua utaiona kiganjani mwak
 
Tausi portal ndio inatumika kwa sasa
Tausi portal Inasumbua sana.... Kwenye registration... mfumo hauruhusu kuandika namba ya simu nzima ... digits 2 za mwisho hazina nafasi... halafu inasema errors.... tunaomba support staffs mpitie humo... tunapoteza muda mwingi sana kwa vitu rahisi na vya kawaida tuu....
 
Umekwama wapi njoo PM
 
Kwa yeyote mwenye changamoto karibu tukamilishe kazi yako
Tausi leseni za biashara mtandaoni kupitia mfumo.jpg
 
Back
Top Bottom