Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

Hapana mkuu....scanner ya simu ukishascan kabla ya kusave inakuletea Option "Save as PDF"

Inategemea na ni scanner gani unayoitumia..

Ila kama unaona kutumia ya simu ni usumbufu basi Nenda stationary na simu ascan alafu akiwekee kwenye simu...

Ila hakikisha hiyo pdf isizidi ukubwa wa MB 1.8 .
Mkuu, ni ipi tofauti ya TNBP portal na Tausi portal?
 
Back
Top Bottom