Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
- Thread starter
-
- #41
Subiri kwanza muda wa leseni ya mwanzo ufikie ukomo, halafu utakwenda TRA, kuchukua tax clearanceKWA MFANO UNA BIASHARA TEARI NA LESENI UNAYO AMBAYO INAISHA MWAKANI MWEZI WA KWANZA SASA UNATAKA UJISAJILI ONLINE LICENCE KABLA LESENI HAIJAFIKA MWAKANI:
Swali: kuna uhitaji wa kuweka tax clearance pamoja na mkataba?
Ndio, ni lazima uwe na tax clearance na mkataba, iwe leseni mpya au ya zamani, wote tutaonekana ni wapya Kwa kuwa ni mfumo mpya hivyo tutatambulika kama wapya.KWA MFANO UNA BIASHARA TEARI NA LESENI UNAYO AMBAYO INAISHA MWAKANI MWEZI WA KWANZA SASA UNATAKA UJISAJILI ONLINE LICENCE KABLA LESENI HAIJAFIKA MWAKANI:
Swali: kuna uhitaji wa kuweka tax clearance pamoja na mkataba?
Tausi portal Inasumbua sana.... Kwenye registration... mfumo hauruhusu kuandika namba ya simu nzima ... digits 2 za mwisho hazina nafasi... halafu inasema errors.... tunaomba support staffs mpitie humo... tunapoteza muda mwingi sana kwa vitu rahisi na vya kawaida tuu....Tausi portal ndio inatumika kwa sasa
Mkuu nikucheck pm basiNasajir lesen online halamshaur yoyote ulipo kila hatua utaiona kiganjani mwak
Nimecheki hamna kituMkuu nikucheck pm basi
SAWA njoo mkuuMkuu nikucheck pm basi
Umekwama wapi njoo PMTausi portal Inasumbua sana.... Kwenye registration... mfumo hauruhusu kuandika namba ya simu nzima ... digits 2 za mwisho hazina nafasi... halafu inasema errors.... tunaomba support staffs mpitie humo... tunapoteza muda mwingi sana kwa vitu rahisi na vya kawaida tuu....
Watu wabaya jaman jamaa kaikopy msg yangu kama ilivyo mpaka ananibebea wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
Pm umefungaNimecheki hamna kitu
SAWA njoo mkuu
NimekutextPm umefunga
Naomba unitext... Nimesahau namna ya kuja huko chobingo....Umekwama wapi njoo PM
Nimefika Hadi mwisho haijanipa control number mbona najaribu kushare picha hapa inanizingua kidogo
Hii hapa
Karibu tuwasiliane kukusaidia kukamilisha maombi yako ya leseni hadi kupata leseni yako mkuu.Msaada kwa anayejua