Nawezaje kupata matokeo ya mwanafunzi anayesema amesahau namba yake?

Kazungusha huyo au ana div four chafu ya 30 na kuendelea mbele. Na Bora huyo sisi tuna ndugu yet baada ya kuona kapata 0 akatumia ya shosti yake kapata 4 ya 30. Baadae ikaja kugundulika alipata kipigo Cha mbwa mwiz na kufukuzwa hom na baba yake.
Haya mambo ñinoma.
 
It is up there with a dog ate my homework!

I’m Mkalishe chini umwambie kufeli sio mwisho wa maisha..lol!!
 
1610731038544.png
 
Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
Namna pekee ni kuwasiliana na shule yake wakupe namba yake.
 
Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
mchapeni huyo bakorah au nikutafutieni mkuu mmoja wapo wa wilaya aje kufanya kazi hapo?
 
Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
Akili kichwani bro!!!acha kukaza ubongo jiongeze siyo kila kitu lazima uone
 
Back
Top Bottom