Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

Pole sana mkuu,jipe moyo ,one day yes
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF
 
Yaani yeye akupe milioni afu wewe umpe mikaratasi miwili?

Cheti na milioni moja kipi ni orijino?
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF
 
Patambazuka inga'li ni usiku ila Nuru iko njiani .

Rafiki hiyo hela utailipa kwa utaratibu upi ? Je unayo hata biashara labda wahitaji kuiwekeza?
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF..... N hyo tu ndg ... Kla siku naomba kaz private na kutafuta connection z serikaln niweze kupata kaz, vyet n muhm sn siwez kutelekeza kwa kuvikopea hpn
 
Ahahaha [emoji2][emoji1787]

Huwa siwalewi watu wanaoweka dhamana vyeti.

Cheti Mali ya mtu hata mdaiwa skishindwa lipa utakipeleka wapi na Hela Yako ishapotea.

Ndugu mkopaji tafuta dhamana ya kueleweka Ili ikitokea anayekukopa hujamlipa Hela yake awesa kujifidia.
Yaani mtu anatambia vyeti dunia ya leo?

Ambayo baba levo alieishia form 2 anaajiriwa wasafi media wakati mtaani kuna graduate kibao hawana hata ajira
 
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni
Kama unadhani hivyo vyeti vinathamani kuliko pesa basi nenda Bank ukakope uweke bond hivyo vyeti, na aliekushauri hvo mwambie akusindikize

Ukitoka bank uje na mrejesho
 
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF..... N hyo tu ndg ... Kla siku naomba kaz private na kutafuta connection z serikaln niweze kupata kaz, vyet n muhm sn siwez kutelekeza kwa kuvikopea hpn
uandishi wako ni wa hovyo sana mkuu.

unaandika kwa kukata herufi kama kitoto cha form four vile.

hivi hujui waajiri wanapitia uzi wako pia?

with this kind of writing do you think you can draft something readable?
 
Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? Cheti cha Diploma-CBE, cheti cha Degree-TIA, ikiwa pamoja na vyeti vingine mf cha form 4, cha kuzaliwa n.k ..Ni vyeti original kabisa pia bado navihitaji kwani sijakata tamaa kuhusu Ajira, hivyo sio kwamba navitelekeza hapana. Kiukweli nina shida nahitaji msaada. Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.

Naomba kuwasilisha kwenu wana Jf
Una umri gani na unaishi wapi kwa sasa?
 
Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? Cheti cha Diploma-CBE, cheti cha Degree-TIA, ikiwa pamoja na vyeti vingine mf cha form 4, cha kuzaliwa n.k

Ni vyeti original kabisa pia bado navihitaji kwani sijakata tamaa kuhusu Ajira, hivyo sio kwamba navitelekeza hapana. Kiukweli nina shida nahitaji msaada.

Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.

Naomba kuwasilisha kwenu wana JF.
Vipeleke kwenye vyuo ulivyosomea, weka bond hapo wakupe hiyo amount mkuu
 
Bado hujafikiri sawa sawa au pengine huelewi maana ya dhamana! Nia pekee ya kulipa deni haitoshi, hapo katikati kuna mambo mengi yanayoweza kukufanya usilipe hilo deni!
Sasa ukishindwa kulipa hivyo vyeti vinasaidia nini?
Kingine unavipa umuhimu ambao haupo, hivi unadhani ukiripoti vimepotea hautapata vingine au mbadala wake?
 
Ni wapi naweza kupata huo msaada? Kwasasa nipo mkoa wa Pwani ya kibaha maili 1
Msaada tena!! Mimi nilifikiri ni mkopo eti!! Kama ni mkopo wenzako huwa tunaweka dhamana ya mali, na siyo vyeti vya kitaaluma. Hivyo vyeti vina umuhimu kwako! Ila kwa mkopeshaji ni takataka tu.

By the way, lengo lako hasa la huo msaada/mkopo ni lipi? Kuongeza mtaji kwenye hilo duka lako, au una shida nyingine ambayo hupendi tuifahamu?
 
Back
Top Bottom