Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

Ukishindwa kulipa kuna mahali mkopeshaji anaweza kwenda kuviuza ili apate pesa yake? Na unasema hujakata tamaa kuhusu ajira; Kwa hiyo siku ukiitwa kwenye interview ambapo huwa wanataka uende na vyeti vyako halisi utavipataje ikiwa bado hujamaliza deni?
 
Hakuna pesa ya bure. Mtu asiyekufahamu atakusaidia kwa dhamana yako tu. Mimi sina dhamana yyte .chet n sehemu yakuonesha kuwa nitalipa den na sina nia mbaya yakukimbia sbb huwez poteza leseni. Vyet vyte sbb tu umekopa no. Pia kiuhalisia mm siko hvyo. N shda tu hz ss mtu anashndw kkuelewa anafnya kejel kwel ..
N jambo lakuelewa tu kuwa vyet s ktu nia ya huyu mtu n nn anashda gan? N.k
 
Ukishindwa kulipa kuna mahali mkopeshaji anaweza kwenda kuviuza ili apate pesa yake? Na unasema hujakata tamaa kuhusu ajira; Kwa hiyo siku ukiitwa kwenye interview ambapo huwa wanataka uende na vyeti vyako halisi utavipataje ikiwa bado hujamaliza deni?
Nikiitwa kikaz kabla sijamalza den na vyet dhahir vnahtajka km swala lnaweza kuzungumzika kw mwajir ntamweleza km ataliafik km hakuna bas ....sbb lengo la mkopo pia sio kuchezea pesa nikujenga uchum bnafs. N hvyo tu Ndg yng
 
Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu?

1.Cha form 4

2.Cheti cha kuzaliwa

3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda

4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE

5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA

Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu mwenyewe, sina nia mbaya na siwezi kutelekeza nyaraka zangu kwani bado nazihitaji, ni jinsi yakupata msaada tu. Asante.

Kiukweli nina shida nahitaji msaada.

Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.

Naomba kuwasilisha kwenu wana JF.
@Miss Zomboko
 
Back
Top Bottom