Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JFPole sana mkuu,jipe moyo ,one day yes
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JFYaani yeye akupe milioni afu wewe umpe mikaratasi miwili?
Cheti na milioni moja kipi ni orijino?
Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF..... N hyo tu ndg ... Kla siku naomba kaz private na kutafuta connection z serikaln niweze kupata kaz, vyet n muhm sn siwez kutelekeza kwa kuvikopea hpnPatambazuka inga'li ni usiku ila Nuru iko njiani .
Rafiki hiyo hela utailipa kwa utaratibu upi ? Je unayo hata biashara labda wahitaji kuiwekeza?
Kama kina gharama hiyo basi msindikize Bank yoyote mkakope muweke bond hivyo vyetiUnadhani cheti kinaokotwa,cheti kinagharamiwa yaani mtu analipa ada ili akipate hicho cheti husika,unachokidharau.
Yaani mtu anatambia vyeti dunia ya leo?Ahahaha [emoji2][emoji1787]
Huwa siwalewi watu wanaoweka dhamana vyeti.
Cheti Mali ya mtu hata mdaiwa skishindwa lipa utakipeleka wapi na Hela Yako ishapotea.
Ndugu mkopaji tafuta dhamana ya kueleweka Ili ikitokea anayekukopa hujamlipa Hela yake awesa kujifidia.
Kama unadhani hivyo vyeti vinathamani kuliko pesa basi nenda Bank ukakope uweke bond hivyo vyeti, na aliekushauri hvo mwambie akusindikizeSure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni
uandishi wako ni wa hovyo sana mkuu.Sure, japo hakina monetary value kuwa dhamana lakini cheti ni cha thamani sana, tunapitia magumu thats why inafka mahal tunaomba msaada, dunia ya leo mtu kukusaidia n kaz sn. Na kimfaacho mtu chake ndio maana naomba msaada kwa kigezo cha vyeti niktambua kbs hakfai kuwa dhamana, ila kw msamalia atayeguswa anisaidie angalau bas niweke vyet tu ishara kuwa nitalipa deni, bado navhtaj hv vyet sijavikatia tamaa lkn kw sasa napitia uhitaj wa hicho kias cha fedha na sina msaada nikaona niweke mawazo yng JF..... N hyo tu ndg ... Kla siku naomba kaz private na kutafuta connection z serikaln niweze kupata kaz, vyet n muhm sn siwez kutelekeza kwa kuvikopea hpn
N kwel, vyet havna monetary value. Lkn nimesema hvyo km sehemu yakupata msaada wa huruma, pia mwanzo wakufahamiana na atayeguswa kunisaidia...
Una umri gani na unaishi wapi kwa sasa?Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? Cheti cha Diploma-CBE, cheti cha Degree-TIA, ikiwa pamoja na vyeti vingine mf cha form 4, cha kuzaliwa n.k ..Ni vyeti original kabisa pia bado navihitaji kwani sijakata tamaa kuhusu Ajira, hivyo sio kwamba navitelekeza hapana. Kiukweli nina shida nahitaji msaada. Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.
Naomba kuwasilisha kwenu wana Jf
Unaskia au sioNenda pesaX app nasikia wanatoa mkopo mpka 1.5m bila dhamana Cha msingi uwe na kitambulisho Cha NIDA.
Kijana anafanya utani na million,, hajui hio ni bajeti ya mtu ya mwaka mzima.Mdogo wangu binafs nakushauri
Kama una asset au accessory yoyote uza upate mtaji, cheti hakiwezi kua dhamana
Vipeleke kwenye vyuo ulivyosomea, weka bond hapo wakupe hiyo amount mkuuNdg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? Cheti cha Diploma-CBE, cheti cha Degree-TIA, ikiwa pamoja na vyeti vingine mf cha form 4, cha kuzaliwa n.k
Ni vyeti original kabisa pia bado navihitaji kwani sijakata tamaa kuhusu Ajira, hivyo sio kwamba navitelekeza hapana. Kiukweli nina shida nahitaji msaada.
Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.
Naomba kuwasilisha kwenu wana JF.
Msaada tena!! Mimi nilifikiri ni mkopo eti!! Kama ni mkopo wenzako huwa tunaweka dhamana ya mali, na siyo vyeti vya kitaaluma. Hivyo vyeti vina umuhimu kwako! Ila kwa mkopeshaji ni takataka tu.Ni wapi naweza kupata huo msaada? Kwasasa nipo mkoa wa Pwani ya kibaha maili 1
Alitoa pesa chuoni kununua makaratasi, sasa anataka auze makaratasi apate pesa????Unadhani cheti kinaokotwa,cheti kinagharamiwa yaani mtu analipa ada ili akipate hicho cheti husika,unachokidharau.