Pole kiongozi, vipi uliteleza wapi hadi yakakuvunjavunja moyo?Yaan mil moja ukatupe kwenye matikiti...nililima yakanikomesha haswaa...nikapata stress mpaka nikawa navushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo..hata kuyala nikaacha kabisaa...jaribu lakin...
soko lilifurika bei ikashuka...plus madalali...kuja kupiga mahesabu..nikajikuta napanda nilichovuna bila kujitosheleza (-ve)Pole kiongozi, vipi uliteleza wapi hadi yakakuvunjavunja moyo?
Mjasilimiamali hatakiwi kukata tamaasoko lilifurika bei ikashuka...plus madalali...kuja kupiga mahesabu..nikajikuta napanda nilichovuna bila kujitosheleza (-ve)
Mr Mtanda kwa ushauri tu. Jaribu ku apply shule za english medium sio lazima ufundshe secondary labda kama hutaki kazi.Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata pesa ama kukomeshwa nianze biashara yakulima matikiti na kujipatia kipato chakuendesha maisha yangu.
Itamgharimu big timebet bro
Pole, ndio changamoto za kilimo cha msimu, ila ukiwa na maji unavizia timing nzuri ya soko kabla hujapanda, japo ni gharama kupata chanzo cha maji kama yapo mbalisoko lilifurika bei ikashuka...plus madalali...kuja kupiga mahesabu..nikajikuta napanda nilichovuna bila kujitosheleza (-ve)
Shenzi kabisa unavushwa barabara ya vumbi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan mil moja ukatupe kwenye matikiti...nililima yakanikomesha haswaa...nikapata stress mpaka nikawa navushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo..hata kuyala nikaacha kabisaa...jaribu lakin...