Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata pesa ama kukomeshwa nianze biashara yakulima matikiti na kujipatia kipato chakuendesha maisha yangu.