Nawezaje kupata mtaji mdogo wa milioni moja ilihali sina ndugu wa kunisaidia

Nawezaje kupata mtaji mdogo wa milioni moja ilihali sina ndugu wa kunisaidia

Mr Mtanda

Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
7
Reaction score
13
Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata pesa ama kukomeshwa nianze biashara yakulima matikiti na kujipatia kipato chakuendesha maisha yangu.
 
Yaan mil moja ukatupe kwenye matikiti...nililima yakanikomesha haswaa...nikapata stress mpaka nikawa navushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo..hata kuyala nikaacha kabisaa...jaribu lakin...
Pole kiongozi, vipi uliteleza wapi hadi yakakuvunjavunja moyo?
 
Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata pesa ama kukomeshwa nianze biashara yakulima matikiti na kujipatia kipato chakuendesha maisha yangu.
Mr Mtanda kwa ushauri tu. Jaribu ku apply shule za english medium sio lazima ufundshe secondary labda kama hutaki kazi.

BTW jina lako kama nalifananisha na jirani yangu mmoja kipindi nmepanga maeneo fulani wakat nipo chuo.
 
soko lilifurika bei ikashuka...plus madalali...kuja kupiga mahesabu..nikajikuta napanda nilichovuna bila kujitosheleza (-ve)
Pole, ndio changamoto za kilimo cha msimu, ila ukiwa na maji unavizia timing nzuri ya soko kabla hujapanda, japo ni gharama kupata chanzo cha maji kama yapo mbali
 
Yaan mil moja ukatupe kwenye matikiti...nililima yakanikomesha haswaa...nikapata stress mpaka nikawa navushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo..hata kuyala nikaacha kabisaa...jaribu lakin...
Shenzi kabisa unavushwa barabara ya vumbi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom