safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu dunia kuwa huru haigeuzi upuuzi uonekane ni jambo la maana.Mkuu usiwapangie watu maisha.Usidhani unavyotumia wewe internet ndiyo matumizi ya maana sana kuliko wanaocheza game, kuangalia movies etc.Dunia hii ni huru, kila mtu afanye yake (bila kuvunja sheria) cha msingi hakuna anayemuomba mwenzake pesa ya ugali.Tusidharauliane.
Hata kama dunia ni huru lakini upuuzi wakutizama video za ngono utabaki kuwa upuuzi tu japokuwa una uhuru wa nafsi utizame au usitizame.
Hata kama dunia ni huru hiyo haifanyi ushoga usiwe upuuzi,ushoga utabaki kuwa upuuzi japokuwa una hiari ya kuwa ama usiwe mtu wa aina hiyo.
Na huyu bwana yupo huru katika hii dunia hivyo ana uhuru wa kuona upuuzi jambo ambalo wewe unaliona ni la maana saana.