Nawezaje kupata walau GB 10 za internet kwa siku kwa bei nafuu?

Mkuu dunia kuwa huru haigeuzi upuuzi uonekane ni jambo la maana.

Hata kama dunia ni huru lakini upuuzi wakutizama video za ngono utabaki kuwa upuuzi tu japokuwa una uhuru wa nafsi utizame au usitizame.

Hata kama dunia ni huru hiyo haifanyi ushoga usiwe upuuzi,ushoga utabaki kuwa upuuzi japokuwa una hiari ya kuwa ama usiwe mtu wa aina hiyo.

Na huyu bwana yupo huru katika hii dunia hivyo ana uhuru wa kuona upuuzi jambo ambalo wewe unaliona ni la maana saana.
 
Njoo PM upewe utaalamu
 
Mkuu kwa 10 GBs unaweza kuipata Airtel kifurushi cha Night Packs.
Muda ni kuanzia saa 5 kamili usiku had 11 Asubuh.
Kiasi ni Tshs 1500/= tu.
Ni vema ukawa unashusha vitu then baadae unatulia kuviangalia.
Sijawah kuvibebanisha lakin nafikir inaweza ikakubali maana kwa usiku 10GBs ni saa mmoja au mawili zimeisha.

Angalizo:
Lazima uwe na App ya Airtel kukipata hiki kifurushi, kwa dials za kawaida huwezi kukipata.

All the best.
 
Airtel wana kifurushi cha kupata GB15 dk 1150 kwa Tshs 20000 mwezi mzima
Nb: hizo dk ni mitandao yote
 
Ndo nachojiunga mimi msra nyingi kwa ajili ya kupata knowledges mbalimbali na video kadhaa huyo yutubu.

Ila MB zao zinaenda vibaya vibaya...
Chukua airtel GB15 dk1150 kwa 20000,
Mwezi mzima
 
Soma kichwa cha mada anataka 10GB/siku
15GB/mwezi itamlazimu atumie less 500mb labda kwa siku!

Labda ajiunge mara kadhaa
sasa nae hasemi anataka hizo gb10 kwa sh ngapi
 
Tatizo mleta mada ana porojo nyingi kaulizwa swali hili
Bei nafuu kwako ni sh. ngapi??
kajibu utumbo huu. Hapa alitakiwa ajibu bei nafuu kwake ni ipi ili wadau wamshauri kabaki kupigia promo zuku na kulalamika tu utadhani kuishi mbeya ni adhabu ya kukosa huduma za zuku
 
Kwa menu ya kawaida kipo piga *149*99# kisha 5 kisha 3 kisha 6
 
Halotel rudisheni ile huduma ya ROYAL kama ilivyokuwa, sio hii Royal ya sasa!! Mmetuua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…