Nawezaje kupunguza Uzinzi , maana ndio chanzo cha kunirudisha nyuma

Nawezaje kupunguza Uzinzi , maana ndio chanzo cha kunirudisha nyuma

Nakujaje?
NJOO kwenye makusanyiko yetu tuliookolewa, umpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. uwe huru kwelikweli.

Warumi 10 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
¹⁰ Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
 
Pole sana hapo kwenye roho chafu ni Kweli Kila mwanamke ana roho chafu nyingi hata kama ni wa ndoa much less wa Zinaa. So aondoa kwanza hizo roho chafu Toka utosini mwako mpaka uwayo utapata breakthrough kwa huo utumwa mgumu wa kukaimu kazi za Nyoka.
 
Hatumaanishi kukaa bila kufuck ila kuwe na kiasi,Chagua manzi mmoja wa saizi yako na kipato chako mkae sawa.uhudumie vitu vya msingi Au uoe.
Sio kila mtu unataka umlale tuu.
Uchi Upo tu kijana na utauacha

Hawa watu lazima wahudumiwe Ndio wameumbwa hivyo.hata kama ana mapesa mengii lazima ahudumiwe.

Samahani kwa lugha ngumu
yani duniani mamanzi wote hawa nimchague yeye mmoja tu ili agundue nini? count me out
 
Habari

Wakuu naombeni njia nyepesi ya Kupunguza Umalaya , kuacha nitakuwa muongo ..

Maana ni kitu ambacho nimegundua kinanirudisha nyuma sana kwenye maswala ya maendeleo yangu binasfi..

Napoteza pesa, muda na hata sometimes nahisi Kuna roho chafu nazipata nikiwa na deal na mbususu tofauti tofauti.

Kiufupi Uzinzi ndio changamoto kubwa inayo nifanye nishindwe ku progress mbele .

Sina mke , ila na watoto, naishi mwenyewe tu .

Naombeni msaada

NB: Kuoa sio mpango wangu.
Kuwa mchafu, usiwe na hela utakimbiwa mpaka na wale wa buku 3
 
Jibu la kuacha uzizi na dhambi zingine ni kuokoka basi.
Ahahahah..hivi kuokoka kunapunguzaje zinaa. Maana tamaa ni suala na kibailojia zaidi. Ukila na kama ni mzima wa afya, lazima upandwe na nyege...ukiokoka inakusaidiaje?
Maana nyege zikipanda hata ushike bible haipandi 😂😂😂
 
Habari

Wakuu naombeni njia nyepesi ya Kupunguza Umalaya , kuacha nitakuwa muongo ..

Maana ni kitu ambacho nimegundua kinanirudisha nyuma sana kwenye maswala ya maendeleo yangu binasfi..

Napoteza pesa, muda na hata sometimes nahisi Kuna roho chafu nazipata nikiwa na deal na mbususu tofauti tofauti.

Kiufupi Uzinzi ndio changamoto kubwa inayo nifanye nishindwe ku progress mbele .

Sina mke , ila na watoto, naishi mwenyewe tu .

Naombeni msaada

NB: Kuoa sio mpango wangu.
Oa.
 
Umalaya wa kurithi ngumu sana kuuacha
 
Back
Top Bottom