Nawezaje kupunguza Uzinzi , maana ndio chanzo cha kunirudisha nyuma

Nawezaje kupunguza Uzinzi , maana ndio chanzo cha kunirudisha nyuma

Ahahahah..hivi kuokoka kunapunguzaje zinaa. Maana tamaa ni suala na kibailojia zaidi. Ukila na kama ni mzima wa afya, lazima upandwe na nyege...ukiokoka inakusaidiaje?
Maana nyege zikipanda hata ushike bible haipandi 😂😂😂
Ndiomaana unashauriwa kuoa,kwa kuwa kuoa ndio mpango wa Mungu mwenyewe,na wewe umesema hutaki kuoa na hiyo siyo wewe ni roho ya uzinzi inayokutumikisha ndio inakufanya usipende kuoa.

Ukiokoka kitu cha kwanza kitakachofanyika ni kuondoka kwa roho hiyo,baada ya hapo utapokea roho ya Mungu ambayo itakufanya upende kuoa kwa ajili ya kukidhi haja ya matamanio ya mwili na kumtumikia Mungu kwa usahihi kwa kuwa utaingiwa na hofu ya Mungu itakayokufanya uogope kufanya uzinzi.
 
Back
Top Bottom