Nawezaje kupunguza Uzinzi , maana ndio chanzo cha kunirudisha nyuma

Nakujaje?
NJOO kwenye makusanyiko yetu tuliookolewa, umpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. uwe huru kwelikweli.

Warumi 10 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
⁹ Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
¹⁰ Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
 
Pole sana hapo kwenye roho chafu ni Kweli Kila mwanamke ana roho chafu nyingi hata kama ni wa ndoa much less wa Zinaa. So aondoa kwanza hizo roho chafu Toka utosini mwako mpaka uwayo utapata breakthrough kwa huo utumwa mgumu wa kukaimu kazi za Nyoka.
 
yani duniani mamanzi wote hawa nimchague yeye mmoja tu ili agundue nini? count me out
 
Kuwa mchafu, usiwe na hela utakimbiwa mpaka na wale wa buku 3
 
Jibu la kuacha uzizi na dhambi zingine ni kuokoka basi.
Ahahahah..hivi kuokoka kunapunguzaje zinaa. Maana tamaa ni suala na kibailojia zaidi. Ukila na kama ni mzima wa afya, lazima upandwe na nyege...ukiokoka inakusaidiaje?
Maana nyege zikipanda hata ushike bible haipandi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oa.
 
Umalaya wa kurithi ngumu sana kuuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…