Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

Dont worry, Inawezekana kuwa reversed.

Wasiliana na Rita pamoja na mtandao wako husika watakupa mwongozo. Nimeshawahi fanya reversals za TRA na zikawa successful.
ilichukua mdaa gani mkuu kufanikiwa mkuu
 
Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
Serikali huwa hairudishi chenchi na hata kama ukiamua kufuatilia mpaka uje upate hiyo chenchi yako utakuwa umetumia maradufu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom