Nawezaje kurudiana naye?

Yani licha ya kufanikiwa kutoka 0 - 0 kipindi cha kwanza huku ukiwa pungufu bado unataka kuingiza team tena uwanjani upate aibu? La haula!
Achana nae jipange upya utapata mtu sahihi.
Kwanza maamuzi hana, pili yuko desperate, kama kweli ni mwanaume makini angekua kashapata mwanamke muda sana.
Yote kwa yote mtafute baba yako mzazi kaa nae chini akupe ushauri.
 
baba yake chased her home alivyopata hio mimba, haha
 

BAHATI Mzee ametangulia last year
 
Wewe Ni Dini gani Kwanza tuanzie hapo kwanza
 
kwa hiyo bikira iko nusu manake ulitiwa mara moja ukapata mimba na haujakuwa na mahusiano tena
 
Kwani unadhani wanasikia Hawa, hawa Ni kama kenge mpaka sikio litoke damu ndio waanze kusikia, usije ukashangaa wiki tatu zijazo akarudi hapa Na kusema amepewa Tena mimba Na x wake Na kutelekezwa
 
Simpendi… ana kisirani anasusasusa kiufupi mambo yake Kama yangu namaanisha tabia zangu na yeye anazo mtu wa hivyo nitaishi nae vipi
Basi kama kitabia mnaendana tatizo Nini, hiyo ni match made in heaven haha [emoji38]
 
Binti, huu ndio ushauri mzuri
 
Kazia msimamo ulioweka, baada ya ndoa zaeni mlee mtoto/watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…