Nawezaje kurudiana naye?

Shikilia msimamo wako uleule wa awali...kama anakutaka afanye utaratibu muoane, anataka aamini nini wakati mtu mliwahi kupeana mimba
 
Simpendi… ana kisirani anasusasusa kiufupi mambo yake Kama yangu namaanisha tabia zangu na yeye anazo mtu wa hivyo nitaishi nae vipi
Duuh kumbe humpendi, kwa hiyo hapo wewe unataka nini?
 
Komenti bora kabisa ya kufungulia mwaka. Nafurahi kuona bado kuna wanawake wenye mitazamo chanya namna hii
 
Duuh hivi story yake imeishaje maana mi simuelewi huyu graduate!!!
 
Lightning never strikes the same place twice. Endelea na maisha yako.
 
Acha kucopy za Iddi Makengo...punda wewe
 
Huyo jamaa ni baka? Hapo hakuna muoaji sasa mkubalie akupe mimba azidi kukuharibia kabisaa..!! Mwambie muda wake ukifika uko jeshini wa kuoa ndo utamzalia ss hivi mwambie mle utawala
 
Mbona uamuzi na jibu umeshalitoa bi mkubwa?

Au huyo mjeda kashakuchimba biti la kukutoa uhai?
Anaposema wameachana miaka imepita hapo hapo anasema mara muda wa yeye kuruhusiwa kuoa haujafika.

Mwajiriwa yeyote hata iwe kwenye majeshi akishatimiza miaka miwili tu kazini anaruhusiwa kuoa ama kuolewa.

Sasa huyo wa miaka mingi kwanini asiruhusiwe kuoa?
 
Panga maisha yako vizuri,fanya maamuzi sahihi muda sahihi,pia tuliza sana akili,maisha hayaamuliwi na kigezo cha dini pekee that's why walioleta dini ndio walikuwa wa kwanza kujenga shule.
KAMA STORY YAKO NI KWELI BASI BADILI MFUMO WA MAISHA.
 
Aikooooh nabonge la ushauri kwako kama ungetumia I'd yako ya Depal we komwe unless otherwise natembea mwendo wa haraka kisengerenyuma 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Aikooooh nabonge la ushauri kwako kama ungetumia I'd yako ya Depal we komwe unless otherwise natembea mwendo wa haraka kisengerenyuma 🀣🀣🀣🀣🀣
Hahaaa we kiazi kisa umeona anaongelea uniform unadhani ni mm? We ni kima kweli 🀣🀣
Humu mm nije kuomba ushauri wakati yenu tu yanawashinda!! 😁😁
 
Hahaaa we kiazi kisa umeona anaongelea uniform unadhani ni mm? We ni kima kweli 🀣🀣
Humu mm nije kuomba ushauri wakati yenu tu yanawashinda!! 😁😁
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 endelea na dharau zako bolibo wewe
 
Eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…