Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
mkuu line ilipoteaga kitambo alafu ahikuwa ni nida yangu iliosajili, msimbo huwa ni kama namba fulani unatumiwa ili ziingizwe mahali ndio ifunguke, kwenye ku renew sijui kama itawezekana maana ni muda mrefu umepita.Mkuu hapo hata shetani hatoi msaada.
Iphone inahifadhi vitu kwenye iCloud
Android zinahifadhi google huko..
Sasa msimbo huo unaupataje kwenye line? Why msimbo usitumwe kwenye email? Na kwa nini unapoteza line? Si ukarenew? Au alama za vidole nazo zimepotea? Una NIDA?
Na msimbo ni nini? Why msimbo sasa?
Pole sana.mkuu line ilipoteaga kitambo alafu ahikuwa ni nida yangu iliosajili, msimbo huwa ni kama namba fulani unatumiwa ili ziingizwe mahali ndio ifunguke, kwenye ku renew sijui kama itawezekana maana ni muda mrefu umepita.
ndio mkuuPole sana.
Ngoja wataalamu waje. Ila unakumbuka password za iCloud yako?