Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua Android.
ila nataka nirudishe kila kitu changu from iphone, tatizo limekuja wameniomba namba ya simu yaani ya line niliokuwa natumiq ili watume msimbo, tatizo ni kwamba line nilisjapotezaga kitambo.
Nimejaribu kuweka namba mpya ili watume msimbo imekataa, mwenye ujuzi wakuu, nataka vile vitu kma picha, videoa za kenye iphone virudi katika Android🙏