Nawezaje kurudisha Documents kutokea iPhone kwenda Android?

Nawezaje kurudisha Documents kutokea iPhone kwenda Android?

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua Android.

ila nataka nirudishe kila kitu changu from iphone, tatizo limekuja wameniomba namba ya simu yaani ya line niliokuwa natumiq ili watume msimbo, tatizo ni kwamba line nilisjapotezaga kitambo.

Nimejaribu kuweka namba mpya ili watume msimbo imekataa, mwenye ujuzi wakuu, nataka vile vitu kma picha, videoa za kenye iphone virudi katika Android🙏
 
Mkuu hapo hata shetani hatoi msaada.

Iphone inahifadhi vitu kwenye iCloud
Android zinahifadhi google huko..

Sasa msimbo huo unaupataje kwenye line? Why msimbo usitumwe kwenye email? Na kwa nini unapoteza line? Si ukarenew? Au alama za vidole nazo zimepotea? Una NIDA?
Na msimbo ni nini? Why msimbo sasa?
 
Mkuu hapo hata shetani hatoi msaada.

Iphone inahifadhi vitu kwenye iCloud
Android zinahifadhi google huko..

Sasa msimbo huo unaupataje kwenye line? Why msimbo usitumwe kwenye email? Na kwa nini unapoteza line? Si ukarenew? Au alama za vidole nazo zimepotea? Una NIDA?
Na msimbo ni nini? Why msimbo sasa?
mkuu line ilipoteaga kitambo alafu ahikuwa ni nida yangu iliosajili, msimbo huwa ni kama namba fulani unatumiwa ili ziingizwe mahali ndio ifunguke, kwenye ku renew sijui kama itawezekana maana ni muda mrefu umepita.
 
mkuu line ilipoteaga kitambo alafu ahikuwa ni nida yangu iliosajili, msimbo huwa ni kama namba fulani unatumiwa ili ziingizwe mahali ndio ifunguke, kwenye ku renew sijui kama itawezekana maana ni muda mrefu umepita.
Pole sana.
Ngoja wataalamu waje. Ila unakumbuka password za iCloud yako?
 
Inawezekana uliweka 2 factor authentication, njia rahisi ni kutafuta hio line. Alternative ni kuwasiliana nao wenyewe hao Apple sema ni 50/50 kukusaidia.

Kwa browser pia inakataa kulogin?
 
Elezea tena tatizo lako vzri..
Huwenda nikakusaidia nikiwa huku huku nilipo.. ila utachangia chochote kitu
 
Mkuu siyo kwamba watu humu hatuna/hawana uwezo wa kutumia iPhone,tatizo la iPhone inapofika kipindi kama hiki cha kwako ndipo utaona ubaya wake!

Mimi binafsi hata ukinipa iphone 15 Pro max mpya bureeee kabisa sichukui!,kwangu binafsi! iphone ni simu ambazo sijawahi kuzikubali!

Nimeanza kutumia Samsung galaxy tangu najitambua naamini ndiyo simu wakati wa kifo changu ndiyo simu itakutwa mfukoni mwangu!
 
Ni rahisi, km unahama kwenda samsang, kuna official samsang app inaitwa Smartswitch, fuata maelekezo utahamisha everything easily mpaka text zako.

Km huna samsang, tafuta alienayo, alternatively tumia google drive
 
Umesema simu imekufa sasa unataka kuaccess nini? Kama ni iCloud na data zako kweli uliziweka huko zote bora ungesema hivyo haina uhusiano na simu tena, access kwenye computer kwenye browser kama hauna access fuata taratibu za forgot password, zaidi ya hapo hakuna la kufanya.
 
Kuna application ya iPhone to android as long as unakumbuka account uliofanyia settings wkt unatumia iPhone
 
Back
Top Bottom