GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Kita mramba uyuUnanunua kiwanja WhatsApp
Simshauri sas hivi, ntamshauri baada ya kurambwa ππ¨Kita mramba uyu
Nb
Ungetumia power of attorney ambayo itampa mtu ulie mchagua ku sign badili yako lakini hiyo condition yla sign na jina lako doh
Nieleweshe kidogo kwa hapo mkuu. Hiyo inafanyaje kazi kwenye ununuzi wa kiwanja? Nielekeze as if unamwelekeza mwanafunzi wa darasa la tano! Ila samahani kwa usumbufu!Kita mramba uyu
Nb
Ungetumia power of attorney ambayo itampa mtu ulie mchagua ku sign badili yako lakini hiyo condition yla sign na jina lako doh
Ipo hivii?Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa.
Changamoto yangu ni kuwa ninataka jina langu na sahihi yangu kama mnunuzi ionekane kwenye mkataba huo. Siyo kwamba siwaamini ndugu walio jirani na eneo kiwanja kilipo, ila ni tahadhari tu. Nimeshawaona ndugu wa damu wakigeukana bila aibu. Wao watashiriki kama mashahidi!
Nifanyeje?
1. Ikiwa jina langu litaonekana kwenye mkataba kama mnunuzi lakini mtu mwingine akasaini kwa niaba yangu, itakuwa na mkanganyiko kisheria?
2. Kuna mbinu nyingine ya ziada?
πππIpo hivii?
Unatakiwa kutuma picha zako 2pcs kwa muuzaji, kisha muuzaji aende kwa wakili kuelezea nia yake ya kuuza kiwanja halali na bei mliyokubaliana, maana kuna gharama hapo ambazo mnaweza kukubalia pande zote kuzigawana.
Wakili ataangalia hati zake halali za umiliki wa kiwanja, kisha atamjazia karatasi nzito za light blue zinazoitwa 'leagle paper', kubandika picha zenu kwenye fomu na kugonga mhuri.
Yeye ataweka sahihi sehemu yake, lakini wewe utasaini utapoletewa huo mkataba na hati.
Mzunguko huo ukiwa tayari, akutumie nakala kwa njia ya whatsapp kwa uhakiki.
Ukijiridhisha tafuta 'njia sahihi' za kubadilishana hati na pesa.
Maana waweza kutuma pesa hati ikakwama, ama yeye akatuma hati pesa ukakwamisha, tafuteni njia sahihi za kukabidhiana.
Mfumo unafanana sana na uuzianaji wa gari, ingawa tofauti kidogo ipo kwenye nyaraka.
Kama nitakuwa nimekosea, ntaomba nisahihishwe.
Maana ni siku nyingi nilishacheza hiyo michezo hadi ninasahau sasa!
πππTafuta Mwanasheria eneo husika asimamie shughuli yote
Gharama si kubwa
Documents atakutumia online
Binafsi nimewahi kulifanya jambo kama hilo kwa mafanikio
Ni legal document ambayo unampa/inampa mamlaka mtu unae mchagua afanye vitu ulivyo muidhinisha na kisheria vita tambulika kama ni wewe ndio ulie fanya na sio yeye .Nieleweshe kidogo kwa hapo mkuu. Hiyo inafanyaje kazi kwenye ununuzi wa kiwanja? Nielekeze as if unamwelekeza mwanafunzi wa darasa la tano! Ila samahani kwa usumbufu!
πππNi legal document ambayo unampa/inampa mamlaka mtu unae mchagua afanye vitu ulivyo muidhinisha na kisheria vita tambulika kama ni wewe ndio ulie fanya na sio yeye .
Kwa maelezo zaidi atakupa wakili utakae mpata