Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu.
Picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi kuhusu ulevi. Naomba kuelewa iwapo hujahusishwa kwenye matumizi ya picha hiyo unawezaje kudai fidia kwa watu kukuvunjia privacy yako.