Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ni kwamba iyo pipe unayosuck wakimaliza wanatupa wanaweka nyingine au wanafanyeje? Vipi usalama wa madereva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unadhani ni rahisi tu Kukishtaki chombo cha Habari kwa Taarifa au Picha waliyorusha tena ikiwahusisha hadi Polisi endelea tu Ndugu yangu.Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu..picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi kuhusu ulevi. Naomba kuelewa iwapo hujahusishwa kwenye matumizi ya picha hiyo unawezaje kudai fidia kwa watu kukuvunjia privacy yako.View attachment 1653849